Psalms 86:6-7

6 aEe Bwana, sikia maombi yangu,
sikiliza kilio changu unihurumie.
7 bKatika siku ya shida yangu nitakuita,
kwa maana wewe utanijibu.
Copyright information for SwhNEN